Mwelekeo kwa suluhu la usafi himiliki (in Kiswahili) Towards more sustainable sanitation solutions - SuSanA Vision Document SuSanA (2008)

Lengo kuu la Muungano wa Mashirika tekelezi ya Usafi Himiliki ni kuchangia katika kufanikisha malengo ya milenia kwa kueneza mifumo himiliki ya usafi. Muungano huu unaenzi na kushabikia malengo ya milenia na Mwaka wa Kimataifa wa Usafi kwani hutetea sana hali ya usafi na kuufanya upate kipaumbele katika ajenda za maendeleo. Kazi ya muungano huu ni kuchangia katika utekelezi wa mifumo himiliki ya usafi kwa kiwango kikubwa, kuandaliwa na kufanikishwa kwa programu za maji na usafi mintarafu ya mikakati iliyopendekezwa na WHO, UNDP-PEP, UNSGAB na UNESCO.

Bibliographic information

SuSanA (2008). Mwelekeo kwa suluhu la usafi himiliki (in Kiswahili) Towards more sustainable sanitation solutions - SuSanA Vision Document Sustainable Sanitation Alliance (SuSanA)

Filter / Tags

Publications by SuSanAPublications by SuSanAFactsheets and policy briefsSwahili

Downloads

Mwelekeo kwa suluhu la usafi himiliki (in Kiswahili)


Type: application/pdf
Size: 0.48 MB

Download

Mwelekeo kwa suluhu la usafi himiliki (in Kiswahili)

Published in: 2008
Pages: 0

Publisher:
Sustainable Sanitation Alliance (SuSanA)

Author(s):
SuSanA

Uploaded by:

Stay in Touch Become a Member

Register for free as a SuSanA member to engage with thousands of sanitation enthusiasts on the forum, join working groups, and explore regional chapters.

Subscribe

Are we allowed to crumble with cookies and anonymous tracking?

We use cookies on our website. Some of them are essential for the operation of the site (so called session cookies), while others help us to improve this site and the user experience (tracking cookies). We use the application Matomo and the external service etracker to analyze your behavior on our website anonymously. Because we value your privacy, we are here with asking your permission to use the following technologies. You can change your settings any time via this link or the menu item in footer menu. For more information visit our Data Policy